đ„đ„ "BUKAVU, BAGIRA, BRASSERIE TUTAFANYA SHOW YENYE HABAYA ONAKA,ZILE HIP HOP ZA YULU SANA NJO TUTAWAPA " maneno ya ma rappers #BLACK_FIRI_ONE NA #MACHINE_GUN_OFFSA. Itakuwa iyi Siku ya mungu tarehe 28 /09/2025 ndani ya ukumbi signature/brasserie mida ya sasaba kamili (13h00). Tickets ni FC2000 & FC 5000 VIP Mfalme Jeffrey Bababo yupo kati ya wa alikwa. Brasserie muko tayari kupokea Hawa wasanii?? Follow Rodriguez Ishara Bagunda ili usikose habari. #MC_RODRIGUEZ